Categories
Haki za Watanzania

Karibuni

Karibuni katika tovuti hii ambayo si mpya bali imefanyiwa maboresho kadhaa kuendana na nyakati. Lengo la tovuti hii ni kuwa sauti ya watu wasiosikika. Inafanya hivyo kwa kuripoti, kurikodi na kufuatilia matukio mbalimbali ya ukiukwaji wa kila aina ya haki za Watanzania. Karibuni sana